bunju

Sale Price:$333.00 Original Price:$999.00
sale

Ndoa ya Bunju na Neema ina mvutano kuhusu suala la matumizi ya pesa na suala la malezi ya mtoto wao Lemi. Bunju ana msimamo wake kuhusu majukumu yake kwa familia yake na kusema gharama ya matibabu ya mamake Neema Sio jukumu lake. Neema anahisi kuwa; Bunju anaweza kumsaidia katika matibabu ya mama yake. Wawili hao wanavutana kuhusu suala hilo. rans vip slot

Quantity:
Add To Cart